Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Shalom
Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake

Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍

Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim

Wa Morocco utalia

Akaenda kuomba mahakaman anampenda mumewe na awezi kubali talaka

Kwa sasa tunamuachia Mungu na mahakama mwanaume kakomaa anatoa talaka kama alivyoombwa na mkewe

Mke anahaha kurudisha mapenzi

Tuwe makini sana na hawa watu some baibo ishininao kwa akili.....

We ishi nae kwa kufikiria pump yako itakusaidia

Ee Allah tusaidie
 
Yaan mkuu shida tu tumeyajadili nikiwa kanisani nkahisi nikitoa u
Tena ashindwe!
Shauri wataniita pepo maana nilitaka kuwaambia kamalizanen tu mahakaman msitutese pls mlipofikia mmh

Nakumbuka yangu same mke alianzisha nikaona mbona hii need 2b alone nyingi

Woi nkabeba bag nkaenda likizo sehemu nje mwezi nkarudi nkakuta Sammons ya mahakama nkafika nkajieleza

Woi tumenda nkaombwa namba na ndada mmoja wa mahakama akanipigia aisee yaan kwa yalemaelezooo hamfai kabisa kuendelea pamoja

Nkaomba waniombee kwa wazee na hakimu yaishe mbona nimechoka kujahuku mwezi wa 4 tunaenda akadanganywa ana mzigo mumeo na anaweka ndan

Kufika kagoma ooh nampenda na sitokubali..

Bahati m vyangu nn mama mdogo wangu toka sijatoka nyumban

Woi akaniendesha miezi 2 again..hakimu akatuita siku flan tunamalizana na kesi yenu

Kwa mara ya kwanza na mwisho nilifunga 3days asbh kula jion namwomba Mungu

Tumefika nikaimwagia mafta mahakama nzima pemben nje na maji...achen tu

Kufika zamu yetu

Wazee wakasema tumewasikiliza na jinsi mnavyotoka hapa hamna dalili za kurudiana mtauwana...ooh siwezi huyu mume wangu.....

😆 😂 😆 😂 😆 😂 dk zero kikaka kikaratasi ka rangi nkasaini akaomba mda akambiwa no akasaini

After nikahama hata nilipohamia nkahisi anaweza choreshwa na jamaa za kazini

Nkavuuta mzigoo chap nkaweka ...imepita miaka miwili nkaweka imooo

Nkaenda nje nako nkaweka nkase.a toshaa tuachiee kina min-me waongexe.......

Yaan amenichosha kabisa mjukuu mie wa mwandambo hizi ndoa Allah angetuonyesha .mbeleni

Seeikali wangetupa lesseni ina exp kama za gari ... jaman watu wangeacha kabisa kurenew lessenizao
 
na huyu nae tumwombee
Mapenzi ya Mungu yatimie tu jinsi aonavyo yeye
 
Shalom, Pdidy.
Upo mtumishi

Leo bado kidogo niombee pepo la kuharibu ndoa litokenkakumbuka kuna mazawadi wanafunguaga kama wamepewa na baba zao

Kumbe ndan kuna mizigo ya ma x kama wote waliofuka harusini shidaa .....
 
Yaan mkuu shida tu tumeyajadili nikiwa kanisani nkahisi nikitoa u

Shauri wataniita pepo maana nilitaka kuwaambia kamalizanen tu mahakaman msitutese pls mlipofikia mmh

Nakumbuka yangu same mke alianzisha nikaona mbona hii need 2b alone nyingi

Woi nkabeba bag nkaenda likizo sehemu nje mwezi nkarudi nkakuta Sammons ya mahakama nkafika nkajieleza

Woi tumenda nkaombwa namba na ndada mmoja wa mahakama akanipigia aisee yaan kwa yalemaelezooo hamfai kabisa kuendelea pamoja

Nkaomba waniombee kwa wazee na hakimu yaishe mbona nimechoka kujahuku mwezi wa 4 tunaenda akadanganywa ana mzigo mumeo na anaweka ndan

Kufika kagoma ooh nampenda na sitokubali..

Bahati m vyangu nn mama mdogo wangu toka sijatoka nyumban

Woi akaniendesha miezi 2 again..hakimu akatuita siku flan tunamalizana na kesi yenu

Kwa mara ya kwanza na mwisho nilifunga 3days asbh kula jion namwomba Mungu

Tumefika nikaimwagia mafta mahakama nzima pemben nje na maji...achen tu

Kufika zamu yetu

Wazee wakasema tumewasikiliza na jinsi mnavyotoka hapa hamna dalili za kurudiana mtauwana...ooh siwezi huyu mume wangu.....

😆 😂 😆 😂 😆 😂 dk zero kikaka kikaratasi ka rangi nkasaini akaomba mda akambiwa no akasaini

After nikahama hata nilipohamia nkahisi anaweza choreshwa na jamaa za kazini

Nkavuuta mzigoo chap nkaweka ...imepita miaka miwili nkaweka imooo

Nkaenda nje nako nkaweka nkase.a toshaa tuachiee kina min-me waongexe.......

Yaan amenichosha kabisa mjukuu mie wa mwandambo hizi ndoa Allah angetuonyesha .mbeleni

Seeikali wangetupa lesseni ina exp kama za gari ... jaman watu wangeacha kabisa kurenew lessenizao
Jitahidi uwe unatoa komenti fupifupii.Ntakulambisha ban!Bii keyafuru!
 
mm zawadi zilitutungua anafungua mara khanga mbichi box Zima mara viatu vimeisha havijapigwa hata rangi wala kamba hamna mbaya pea moja moja aisee

Pale motoukaanza Malaya zakoo akafungua na yeye nkanza bwana zako hawa tanguhapo hakupoi mpaka nilipofanya uamuzi mgumu

Nw naenda hadi madhabahuni na mke wangu ile ngoma sijui ningefanyajenayo
 
Shalom
Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake

Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍

Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim

Wa Morocco utalia

Akaenda kuomba mahakaman anampenda mumewe na awezi kubali talaka

Kwa sasa tunamuachia Mungu na mahakama mwanaume kakomaa anatoa talaka kama alivyoombwa na mkewe

Mke anahaha kurudisha mapenzi

Tuwe makini sana na hawa watu some baibo ishininao kwa akili.....

We ishi nae kwa kufikiria pump yako itakusaidia

Ee Allah tusaidie
Daaa!
 
Soon nitagudua kifaa cha kupima kama mwanamke amekupendea hela au moyo ili kero hizi zipungue
 
Back
Top Bottom