Shauri wataniita pepo maana nilitaka kuwaambia kamalizanen tu mahakaman msitutese pls mlipofikia mmhTena ashindwe!
Jitahidi uwe unatoa komenti fupifupii.Ntakulambisha ban!Bii keyafuru!Yaan mkuu shida tu tumeyajadili nikiwa kanisani nkahisi nikitoa u
Shauri wataniita pepo maana nilitaka kuwaambia kamalizanen tu mahakaman msitutese pls mlipofikia mmh
Nakumbuka yangu same mke alianzisha nikaona mbona hii need 2b alone nyingi
Woi nkabeba bag nkaenda likizo sehemu nje mwezi nkarudi nkakuta Sammons ya mahakama nkafika nkajieleza
Woi tumenda nkaombwa namba na ndada mmoja wa mahakama akanipigia aisee yaan kwa yalemaelezooo hamfai kabisa kuendelea pamoja
Nkaomba waniombee kwa wazee na hakimu yaishe mbona nimechoka kujahuku mwezi wa 4 tunaenda akadanganywa ana mzigo mumeo na anaweka ndan
Kufika kagoma ooh nampenda na sitokubali..
Bahati m vyangu nn mama mdogo wangu toka sijatoka nyumban
Woi akaniendesha miezi 2 again..hakimu akatuita siku flan tunamalizana na kesi yenu
Kwa mara ya kwanza na mwisho nilifunga 3days asbh kula jion namwomba Mungu
Tumefika nikaimwagia mafta mahakama nzima pemben nje na maji...achen tu
Kufika zamu yetu
Wazee wakasema tumewasikiliza na jinsi mnavyotoka hapa hamna dalili za kurudiana mtauwana...ooh siwezi huyu mume wangu.....
π π π π π π dk zero kikaka kikaratasi ka rangi nkasaini akaomba mda akambiwa no akasaini
After nikahama hata nilipohamia nkahisi anaweza choreshwa na jamaa za kazini
Nkavuuta mzigoo chap nkaweka ...imepita miaka miwili nkaweka imooo
Nkaenda nje nako nkaweka nkase.a toshaa tuachiee kina min-me waongexe.......
Yaan amenichosha kabisa mjukuu mie wa mwandambo hizi ndoa Allah angetuonyesha .mbeleni
Seeikali wangetupa lesseni ina exp kama za gari ... jaman watu wangeacha kabisa kurenew lessenizao
Inasikisha sana!na huyu nae tumwombee
Mapenzi ya Mungu yatimie tu jinsi aonavyo yeye
Daaa!Shalom
Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake
Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia π
Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim
Wa Morocco utalia
Akaenda kuomba mahakaman anampenda mumewe na awezi kubali talaka
Kwa sasa tunamuachia Mungu na mahakama mwanaume kakomaa anatoa talaka kama alivyoombwa na mkewe
Mke anahaha kurudisha mapenzi
Tuwe makini sana na hawa watu some baibo ishininao kwa akili.....
We ishi nae kwa kufikiria pump yako itakusaidia
Ee Allah tusaidie
Nini hiki tena...Copiidiiiiandnotediiibut
Hawawafanyakaziwakampuni watalipwajebilakutumiamdakwenyeinternet
Roger roger
Saa hizi Piddly hamna kitu.Copiidiiiiandnotediiibut
Hawawafanyakaziwakampuni watalipwajebilakutumiamdakwenyeinternet
Roger roger
Vumilia huyo ndiyo Malebo.Nini hiki tena...
Eh! inasikitisha sana.Vumilia huyo ndiyo Malebo.
Unaweza ukatangulia mbele za haki na haki yako usiikute mkuu!SAna mkuu
Haya mambo n Mungu tu atusaidie
Ndio maana wanaume wanatangulia mapema mbeleza........i
Kama nakuona mkuu utakavyo fahamika hadi new york billionaire wa jfSoon nitagudua kifaa cha kupima kama mwanamke amekupendea hela au moyo ili kero hizi zipungue
wanawaket wanaweza kukiiba kabla hata ya kufahamika maana kitawakosesha ulajiKama nakuona mkuu utakavyo fahamika hadi new york billionaire wa jf