Sasa hata kama sio mwenzetu sisi inatuathiri nini, kuna kitu gn atapunguza yeye akiwa sio mwenzetu? Je, Yanga haijaingia fainali? Je, Yanga haijaweka historia nchi hii? Je, Yanga sio kubwa kuliko Simba? Tafakari, chukua hatua.Hapa wa kumshangaa sio huyu shabiki mpya lialia wa yanga, ila wa kuwashangaa ni mashabiki na viongozi wa yanga wanaoamini huyu ni mwenzao....
KALAGHABAOOOO...
View attachment 2643317View attachment 2643318View attachment 2643322View attachment 2643323View attachment 2643324
Akili mali mtu wangu,Sasa hata kama sio mwenzetu sisi inatuathiri nini, kuna kitu gn atapunguza yeye akiwa sio mwenzetu? Je, Yanga haijaingia fainali? Je, Yanga haijaweka historia nchi hii? Je, Yanga sio kubwa kuliko Simba? Tafakari, chukua hatua.
Ni hatari anaishabikia timu toka akiwa na miaka 6 amekuja kuhama akiwa na miaka 50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiko ki clip cha pili anavyolia hahahha anapiga mpaka na kifua..huyu anaita wenzake kuku...yeye ni Bata kabisa.
Sijui hawafahamu kama ni mnafikiNi hatari anaishabikia timu toka akiwa na miaka 6 amekuja kuhama akiwa na miaka 50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena sio ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazii ipooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.Tena sio ndogo
Kama uliielewa ile kauli kuwa wenye akili ni wawili basi usingejiuliza hilo swali.Sijui hawafahamu kama ni mnafiki