Ogopa Mungu na Teknolojia

Ogopa Mungu na Teknolojia

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Hapa wa kumshangaa sio huyu shabiki mpya lialia wa yanga, ila wa kuwashangaa ni mashabiki na viongozi wa yanga wanaoamini huyu ni mwenzao....

KALAGHABAOOOO...

Hapa wa kumshangaa sio huyu shabiki mpya lialia wa yanga, ila wa kuwashangaa ni mashabiki na viongozi wa yanga wanaoamini huyu ni mwenzao....

KALAGHABAOOOO...

View attachment 2643317View attachment 2643318View attachment 2643322View attachment 2643323View attachment 2643324
Sasa hata kama sio mwenzetu sisi inatuathiri nini, kuna kitu gn atapunguza yeye akiwa sio mwenzetu? Je, Yanga haijaingia fainali? Je, Yanga haijaweka historia nchi hii? Je, Yanga sio kubwa kuliko Simba? Tafakari, chukua hatua.
 
Akili mali mtu wangu,
Najua ukikaa ukatafakari kwa kina jibu unalipata ila kwakuwa kuna dawa wanawapa huko utopoloni ndio maana mnaona kinyumenyume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili itawakaa sawa tu.......

Feisal kagoma kumeza dawa huko,akili zimerudi bado nyinyi....
 
USM ALGER WANAKUNYWA ALKASUSU SSHV KAZI IPO[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]مييويويويويوطوطوطىطططوىطبىىىذذ
 
WATU WENYE AKILI TIMAMU WALIISHA MPUUZA HAJI MANARA MI POMBE NA MIFEGO.

Jamaa Amekuwa WA HOVYO mno

Hana DINI Wala Hana Hofu ya Mungu ndani yake.
 
Back
Top Bottom