Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Mke wako???
 
Atakua mpumbavu wa mwisho huyo mwanamke uache kujishughulisha kisa una uhusiano na mtu umempenda na kumthamini?? 😅😅
😅Atakua ana mapepo
Wakaka mwanamke wa hivi kimbia mara 1
Sasa kama anajishughulisha ya nini kuwa ombaomba, kama sio kujisha utu bure
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna raha yake, kula unacho kitunza.
 
Hii kitu wanaifosi iwe km sheria, wanasema umjali kwa vitu vidogo km vocha, urembo, pedi, na matumizi mengine. Ila vyote hivyo vina gharama zake japo wakati unatoa unahisi ni pesa kidogo tu.

Na ukiangalia ni jukumu la mtu binafsi ila kwa uvivu na ubinafsi wao wanataka kufanyiwa wakati hata hamjaoana!
Najua wapo baadhi ya wana wamekua victim wa hili suala kwa kutokujua au uoga tu wa kumpoteza huyo mwanamke.
Mwanamke anahitaji kupendwa na kumpenda ni kumjali na kumuhudumia, ambapo yeye atalipa kwa kua mtii kwako na kulea watoto wako.

Sasa km unampa mahitaji ya ndoa kabla hujamuoa unadhani atakulipaje? Ndio anaishia kukupa mbususu tu, na ww kwakua unaongozwa na kichwa cha chini unaipapatikia na kumuhusudu kisa anakupa mbususu! Huoni km unadhulumiwa hapo?
Demu wako mrushie tu vimchele aingie tengani shughuri iishe, akitaka zaidi ajishughurishe.
 
Ndugu wanawake wote, mwanaume anaekupenda na kukuthamini hataacha kukuhudumia sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo kimbia huyo ni tapeli
Mwanamke anayeona upendo hauwezi kuwepo bila pesa huyo ni danga tu hawa mara nyingi huwa hawaolewi ni wakitumika tu
 
A presto mile
 
Nimemla manzi ijumaa ilopita na usiku wa tarehe 23 anataka viatu, nguo, na kusuka eti kisa sherehe na daily akitoka Nampa hela ya kula, kesho ntamla tena na hivyo vitu simpi lugha aliotumia na muda wa penzi mfupi sana kuanza huo umatonya
 
Mkuu usilazimishe mtazamo wako ufananane na wengine, kama kiuchumi hauko vizuri ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…