Naona haja ya kufanya study zaidi kuelewa hili kwa undani. Unakuta mmatumbi na shule amesoma mpaka duniani huko lakini anaona fahari kuoa wanaowaita ngozi ya mtume, pengine hata asiye na elimu inayoendana na aliyonayo yeye.Hivi bro umeshafanya study walivyokuwa affected na hawa watu? Hata walio na exposure.they are highly affected psychologically juu ya hiyo race .sina cha kusema I think we really need study on this .sijui ni utumwa umewaharibu?
hawawezi kukuruhusu uoe binti yao mpaka waone namna wanayoweza kukutumia kimaslahi, aidha uwe tajiri au uwe na cheo kizito.Naona haja ya kufanya study zaidi kuelewa hili kwa undani. Unakuta mmatumbi na shule amesoma mpaka duniani huko lakini anaona fahari kuoa wanaowaita ngozi ya mtume, pengine hata asiye na elimu inayoendana na aliyonayo yeye.
The role of PEN , yupo vizuri tu hata mimi nimesoma na kumuelewa🤣Badala ushike bango uandamane unapigia kelele kisichokuhusu wala hakitaleta chakula mezani kwako
NIkuombe utupe usuli wa hili sakata kwenye video hapo.Mbona hujamwekea chatgpt article 5:4?
Wachache watakuelewaWanataka kuvunja muungano na wameona hii ndiyo njia pekee ya Tanganyika kuanzisha mchakato wa kuuvunja mchakato. Wako sahihi. Tuuvunje.
Wewe umekula hongo fisi weweWacha uongo wewe kifungu cha 5:4 mbona hakipo hapo?
Hatuwezi kuhesabu vifaranga kabla havijatotolewa. Mikataba ya utekelezaji ambayo haijaandikwa (hatujui ikoje) haituzuii kujadili framework (MoU) ambayo tayari ipo, imesainiwa na serikali na imeridhiwa na Bunge.Lakini huu mkataba wanasema ni kama framework ambapo mikataba mingine itabase na kwa issue ya kuvunja hii framework ni mpaka mikataba mingine iliyoingowa chini ya hii framework ikome au ivunjwe ambayo naamini itakua na terms za kuivunja.
The other way round ikiwa hii framework itawekewa ukomo Ina maana mikataba itayoingiwa chini yake itakoma pia pale framework itakapofika ukomo if that was to be option.
"Hongo" ni kwa wale wasioziona furasa na wezi wa mali za umma.Wewe umekula hongo fisi wewe
Ila wewe unajuwa kuwazidi siyo...Jiwe alikijua ila kukitamka ndo lilikuwa tatzo
Mama anajua kukitamka ila hakijui
Mimi ni kama Jiwe tu,nakijua kukisoma ila kukiongea ndo tatzo
Sasa kijana husikii, kesi ya mwaka 2014?NIkuombe utupe usuli wa hili sakata kwenye video hapo.
Je ni DP World hawa hawa au replica?
View attachment 2676317
Naomba link yake ili nielimikeSasa kijana husikii, kesi ya mwaka 2014?
Wasomali wamekasirika, DP Womekasirika eti kauza share za kampuni yake kwa Ethiopia.
Hiyo mbaona msomali ana deni mpaka leo analipa? Ndiyo hao wajinga wajinga kama kina Mbowe, walianza kuleta ubaguzi kwanini Waethiopia wauziwe share na Wasomali wapo?
Hiyo kesi tunaijuwa na hukumu yake tumeiweka humuhumu JF, GP World kashinda mamilliomni ya Dollar.
No research no right to speak - Mao Tse Tung.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yesu....[emoji2297]
Unawahi ukiwa umevaa pampas..Ndiyo kwanza nipo njiani nawahi Emirates ya saa nane inakuja na wageni Waarabu wa Dubai.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, maajabu !
Lakini hakuna ugoro wa mikataba kama hiyo!Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Wap....bavu hawa, mi sasa hv nawapotezea tu!Uvivu ht kusoma.
Nna uhakiki hakuna jipya.
Endeleeni tu vithread vyenu keyboard worriers