Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Jo upo mwaliko wa kujiunga PMc vipi 😂Duh
Niko namwangalia Putin hapa Al jazeera
Dunia imebadilika sana tusiishi kwa kukariri!
Kule ni mashine tupuJo upo mwaliko wa kujiunga PMc vipi 😂
Hivi umegawa bure nchi na kila kilichomo ndani yake, kuna nini tena? Litapita ila lazima na rais ajiuzulu kwanza, sio hivi hiviWakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.
Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .
Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.
Tusiaminiane
Kwa nini lisipite ikiwa hata Nyerere kafariki kapita na mpaka sasa ashasahaulika. Litapita na maisha yatasonga kama kawa.Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.
Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .
Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.
Tusiaminiane
Leo anapigwa mpka anakunya na rafiki akeDuh
Niko namwangalia Putin hapa Al jazeera
Dunia imebadilika sana tusiishi kwa kukariri!
Bandari haijauzwa, hivyo hili litapita tuu!.Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.
Hakuna siku kama hiyo!.Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .
Viongozi wetu ni wamoja, ila pia kila mtu ni tofauti!, that is all about managing diversity.Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.
Hakuna kulaumiana!, wala hakuna lawama!Tusiaminiane
Bado hawajui kitakachowatokea hao wanaodhani huu ni upepo tu utakaopita hivi hivi na kuwaacha wao salama.Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.