Ogopeni ugonjwa msiogope chanjo

Ogopeni ugonjwa msiogope chanjo

EngutanK

Member
Joined
May 3, 2021
Posts
99
Reaction score
244
Eti baada ya kuogopa gonjwa la Corona wanaogopa chanjo yake pumbafu. ukipata ugonjwa kuupona unatumia hela nyingi mpaka unafirisika na pengine usipone, kuna jirani yangu kamtibu mkewe kwa gharama ya sh 29 million bahati nzuri amepona lakini mume huyo hoi kiuchumi.

Kamwa wewe ni:
1. Mafanyabiashara mfano duka unapokea wageni wengi chanjo inakuhusu sana
2. Unasafirisafiri sana chanjo inakuhusu
3. MUUMINI msikitini kanisani chanjo inakuhusu
4. Unauza pombe za kienyeji mataputapu chanjo inakuhusu, eti hawa nao wanaogopa chanjo baada ya ugonjwa, watu kama hawa wakipata ugonjwa ni niagieni tu
5. kama wewe una bucha ,mashine ya kusaga Bar au grossary chanjo inakuhusu
6. Kama ni makatishaji wa ticketi za basi kajisalimishe
7; Kama wewe ni mfanya biashara wa kuuza mwili(dada poa ) chanjo inakuhusu sana humo kwenye vyumba unakopelekwa vyumba vyenye viyoyozi kuna cOCorona sana
8 'Dereva wa basi conda nenda kachanje


Lakini kama wewe ni:
1. Mkata mkaa basi achana nayo
2. Mlinzi wa usiku achana nayo
3. Dobi na unapiga pasi achana nayo
4. Kama wewe ni mrina asali au mwindaji wa nungunungu chanjo haikuhusu

OGOPENI UGONJWA WA CORONA NI HATARI UNAUWA NA UNAFIRISI SIYO CHANJO YAKE

Msiwasikilize hao vibwetere akina Gwajima na Hamphrey Polepole.
 
kwanini chanjo na sio kuvaa barakoa? kunawa mikono na kuachiana nafasi?

nyie watu
 
Acha kabisa watu wameuza nyumba huku ili kulipia bili za hospitali wagonjwa wao wa korona...
Wagonjwa 2 washakula mitungi ya ges 22!!bado madawa wanayopewa acheni maneno kabsaaa!!huu ugonjwa ni gharama kuliko unavyodhani
 
Back
Top Bottom