Oh Mama! ErickB52 ndani ya "Leo Tupo Hapa Pub"

Last edited by a moderator:
aiseeee....ngoja nimkomvisi sosoliso tuanzie hapo kabla ya kwenda kwenye private party yetu.....
 
Last edited by a moderator:
utampaje ofa a ndovu mtumiaji wa banana?
 
Leo nipo zangu Ubungoooooooooooooooooooooooooooo...ctaki shida!!!! ahahahaha...:nod::nod::nod::A S-fire1:

kama hupo yenu bar mwambie Amina kuwa sosoliso amesema waonane kesho kutwa
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anafakamia Ndovu kama hana akili nzuri vile
Watu wa A-TOWN wanatisha mbayaa kwa kupiga maji... LOL




Mkulu umepona!!??, nafurahi kukuskia mkuu, hizo kinywaji anazopiga Erickb52 zinaitwa Kinana....
 
Last edited by a moderator:
Jamani msimshangae sana Erickb52 nasikia kakimbia kutoka Mtwara hadi Dar kama Usain Bolt, hapo ndio kafika kwa Mzee Mtambuzi anashusha pumzi...
 
Last edited by a moderator:
yani hilo dishi angenipa mm nadhani ningenenepa kabisa na kuwa na kitambi mpaka my love Mentor angenikataa maana hapendi waatu wenye vitambi kwani yeye hana na hataki kuwa nacho
 
Last edited by a moderator:
pole ndugu yangu kwani ulifika salama wewe huko hawajakudhuru kwa mabomu ya machozi ?
rutta upo pande hizi nini!? nipo lunchtime hapa ila after nusu saa naenda zangu buguruni nikakamilishe ratiba ya "chairfire"
 
kaka yangu hatumiagi banana na akisikia harufu yake anatapika mwaka mzima


halafu wewe Mtambuzi kwanini unamsema mama yetu kuwa ni mwanywaji wa ndyofu? nasema nitakupeleka mahakamani ngoja nikachukue RB kwanini hebu omba msamaha haraka iwezekanavyo
utampaje ofa a ndovu mtumiaji wa banana?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…