hujui tu anatumia kisiri sirikaka yangu hatumiagi banana na akisikia harufu yake anatapika mwaka mzima
halafu wewe Mtambuzi kwanini unamsema mama yetu kuwa ni mwanywaji wa ndyofu? nasema nitakupeleka mahakamani ngoja nikachukue RB kwanini hebu omba msamaha haraka iwezekanavyo
Hahahahahaa afu kakimbia na foo engo!
Huyu jamaa hata sijui kaonyeshwa na nai hiki kiwanja maana aliponiambia nimkute hapo nilijua anatania kumbe keshafika kitamboo na ndovu kama 8 keshazipiga chini, hivi sasa anashushia na hii makitu
Copy to: Paloma, Madame B, ladyfurahia, Kipaji Halisi, Asprin, amu, Mentor, cacico, KakaKiiza, Teamo, Ruttashobolwa, Kaizer, Jiwe Linaloishi
Kizunguzungu meeeen!
Ulipe billi sio ufakamie mibia tu
Kijana umeshaonyeshwa namna ya kuvuka bara bara za strabag? Hatutaki kesi kesho ujue....
Huyu jamaa hata sijui kaonyeshwa na nai hiki kiwanja maana aliponiambia nimkute hapo nilijua anatania kumbe keshafika kitamboo na ndovu kama 8 keshazipiga chini, hivi sasa anashushia na hii makitu
Copy to: Paloma, Madame B, ladyfurahia, Kipaji Halisi, Asprin, amu, Mentor, cacico, KakaKiiza, Teamo, Ruttashobolwa, Kaizer, Jiwe Linaloishi
Kuna watu wanapata mlo mzuri jamani.....nyamnyamnyam........