Oh My!!! Nakuru City has transformed

Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangi

They look at Infrastructure generally, how advanced it is and so on...... Si kupatiana tu city status halafu kuna punda katikatika mwa jiji ya kubeba maji
 
They look at Infrastructure generally, how advanced it is and so on...... Si kupatiana tu city status halafu kuna punda katikatika mwa jiji ya kubeba maji
Muhimu zaidi ni mapato jiji lazima liweze kujiendesha,idadi ya watu , miundombinu ya maji barabara huduma za kijamii kama shule vyuo hospitali pamoja mambo mengine muhimu .Jiji lazima liwe na wadhifa huo sio kama Mji flan apa kwetu unepewa hadhi kabla ya vigezo kisa politics
 
Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangi
angalia huyu naye! mimi nimeuliza hivyo cause niko na sababu zangu... usifikirie Nakuru inajengwa ma barabara tu hivi hivi... kulingana na sheria kuna vigezo flani lazima mji uvifikie ndo uwe jiji(city), Nakuru imefikia 80% ya hivi vigezo,( kulingana na UN habitat, Nakuru ndo the fastest growing town in East and Central Africa kwa miaka kumi iliyopita) bunge ilishapitisha sheria ili Nakuru ianze kutayarishwa to city status, ndio maana hata serekali kuu inatoa pesa za kufanya integrated urban development plan ya Nakuru town......

Baada ya kuona hii mada ndo nikakumbuka haya matayarisho ya kufanya Nakuru iwe city yalianza 2013/14 ndio maana nikauliza mbona Nakuru bado haijatajwa rasmi kama City?

What Nakuru must fix now to earn new found city status
 

Mji gani huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…