tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangiMbona Nakuru bado haijapewa city status?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangiMbona Nakuru bado haijapewa city status?
Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangi
Muhimu zaidi ni mapato jiji lazima liweze kujiendesha,idadi ya watu , miundombinu ya maji barabara huduma za kijamii kama shule vyuo hospitali pamoja mambo mengine muhimu .Jiji lazima liwe na wadhifa huo sio kama Mji flan apa kwetu unepewa hadhi kabla ya vigezo kisa politicsThey look at Infrastructure generally, how advanced it is and so on...... Si kupatiana tu city status halafu kuna punda katikatika mwa jiji ya kubeba maji
angalia huyu naye! mimi nimeuliza hivyo cause niko na sababu zangu... usifikirie Nakuru inajengwa ma barabara tu hivi hivi... kulingana na sheria kuna vigezo flani lazima mji uvifikie ndo uwe jiji(city), Nakuru imefikia 80% ya hivi vigezo,( kulingana na UN habitat, Nakuru ndo the fastest growing town in East and Central Africa kwa miaka kumi iliyopita) bunge ilishapitisha sheria ili Nakuru ianze kutayarishwa to city status, ndio maana hata serekali kuu inatoa pesa za kufanya integrated urban development plan ya Nakuru town......Kwani kupewa city status wanaangalia fly over? Afu acha bhangi
Muhimu zaidi ni mapato jiji lazima liweze kujiendesha,idadi ya watu , miundombinu ya maji barabara huduma za kijamii kama shule vyuo hospitali pamoja mambo mengine muhimu .Jiji lazima liwe na wadhifa huo sio kama Mji flan apa kwetu unepewa hadhi kabla ya vigezo kisa politics