Oh Your Excellence! (Picha)

Oh Your Excellence! (Picha)

Huyu bwana hata hajui anafanya nini Ikulu, wakina Rostam walimburuza kumpeleka ikulu wakijua ufahamu wake ni mdogo sana ili wamtumie kwa manufaa yao, ona sasa anavyojizalilisha na kuidhalilisha nchi kwa ujumla. Hiyo hafla inaweza kuwa imeigharimu nchi zaidi ya thamani ya hiyo misaada ya kichina
 
[IMG said:
http://img130.imageshack.us/img130/2863/jkviatu.jpg[/IMG]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.[/CENTER]
QUOTE]

Hizi kama yebo yebo...
 
Mie nimeishiwa nguvu kuona mheshimiwa wetu akipokea mpk yebo yebo!!! Mnh wachina hawa wana maanisha nini kwetu jamani???
 
mimi sioni tatizo na hiyo misaada!nashindwa kuwaelewa kwanini mmekuwa wakali

Hapo kwenye nyekundu ni sawa, Lakini kuna ulazima gani misaada kupokelewa na Rais ndani ya ofisi ya IKULU, Hata kama huu ni mwaka wa Kampeni siyo kihivyo! Hata viatu vya Plastic rais avipokee?
jkviatu.jpg

Na Chupa za Maji? Msaada wa chupa za maji? unapokelwaje na Rais?
 
Ndio kampeni zimeanza kila event anataka isimpite!
 
"Baiskeli za Cheng shang kwa madaha ndio zenyewe zina nguvu imara kama simba. zinabeba mzigo zaidi ya punda."

Nimelikumbuka tangazo la baiskeli. Hivi kiwanda chetu cha baisikeli kipo? kinafanya kazi?
kaka, Tanzania bado tuna kiwanda chochote kinachofanya kazi?
 
Yaani msaada wa milioni 51 unapokelewa na Rais! Mkulu anatuaibisha kabisa na kutufanya WaTZ tuonekane so cheap. Kiasi hicho cha pesa kwangu mimi kingepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala na si Rais.

Hata mkuu wa wilaya anatakiwa kuwa busy na kazi hii nchi ina vitu vingi sana vya kufanya jamani matatizo yako kibao ya kuyatatua maendelea hakuna yaani ni kama vile tumesimama vile. Mimi sana sana ningeshauri katibu tarafa wa Kijitonyama apokee hiyo mipira na hizo yebo yebo kutoka kwa hao wachina.

Mimi kuna vitu sielewei kabisa jamani mbona presidaa wetu ana muda mwingi sana kwenye haya mambo ya ajabu ajabu? Juzi nilishuhudia akifungua petrol station Vingunguti jamani anautoa wapi huo muda? Jamani watu wa ikulu please tusaidieni japo kidogo kutupunguzia fedheha hii. Ikulu ni zaidi ya kioo cha nchi ndugu zangu lets get serious japo kidogo.
 
mambo mengine ni aibu sana kwetu...tumekuwa kama vipofu tusio na mwongozaji
 
Lakini bwana mkubwa bila haya wala nini kaonekana kafurahia kweli kweli kupokea hiyo "misaada"
 
Hapo kwenye nyekundu ni sawa, Lakini kuna ulazima gani misaada kupokelewa na Rais ndani ya ofisi ya IKULU, ?
sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.

kwa mtizamo wa kawaida wewe unaweza ukawa unaona TUKUTUKU ILE,lakini ukisoma katikati ya mistari utagundua huko uchina kuanzia rais/waziri mkuu mpaka balozi wa nyumba kumi kumi wana-watch na wanajaribu kuipima response ya kile wanachotufanyia.jeikei ana akili sana usione kapanda tukutuku ukadhani mjinga

NB:nchi inayotegemea misaada kama hii SHARTI TUKUBALI TERMS AND CONDITIONS BILA OBJECTIONS!
-ukikubali kuolewa usilale na chupi.habari ndio hiyo!...itafahamika tu
 
sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.

.... mmmh.. grrrrrrrrr... I'm going to nyofoaling my gray hair!
 
Kwa JK hii ni "hobby" yake. Kukutana na kila mtu. Iwe ni kwa shida au vinginevyo. Wachina, Wajapan na Wakorea ni wagonjwa wa misifa. JK anajua hilo.
 
[IMG said:
http://img130.imageshack.us/img130/2863/jkviatu.jpg[/IMG]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.[/CENTER]
QUOTE]

Hizi kama yebo yebo...[/QUOTE]

Ni kweli wamemfungia Yeboyebo na ukimwangalia sura yake mkuu kazistukia kwani (uso kakunja) zinatumika sana kule Chalinze,Madesa, Lugoba, Msata etc
 
Kwa JK hii ni "hobby" yake. Kukutana na kila mtu. Iwe ni kwa shida au vinginevyo. Wachina, Wajapan na Wakorea ni wagonjwa wa misifa. JK anajua hilo.
mimi sioni tatizo au kosa ''kwa kukutana tu''
 
Jamani nataka kulia, siamini macho yangu......sitaki tena kuona picha hizi, am out!
 
MM ni bora Mkuu huyu angeenda kuwapa bendera wale wanawake wajeshi wanaokwenda Darfur kuliko kupokea hizi yeboyebo hapa ikulu. Nimeona ile picha umeweka ya wale akina dada askari wakikabidhiwa bendera bila ya hata katibu wa wizara kuwepo! Loooh! Imperialism is so bad.
 
mimi sioni tatizo au kosa ''kwa kukutana tu''

Tatizo ni moja. Hapati muda wa kupumzika ili arutubishe ubongo wake aweze kukabiliana na masuala muhimu zaidi ya kitaifa na CCM yake. Tuliambiwa angepunguziwa shughuli kama hizi kwa ajili ya afya yake pia!
 
Back
Top Bottom