Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
tatizo la rais ni KUIPOKEA YEYE MWENYEWE?
au KWAMBA WACHINA HAWAKUCHANGIA RED-CROSS?
....i see!I have no idea..
[IMG said:http://img130.imageshack.us/img130/2863/jkviatu.jpg[/IMG]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.[/CENTER]
QUOTE]
Hizi kama yebo yebo...
mimi sioni tatizo na hiyo misaada!nashindwa kuwaelewa kwanini mmekuwa wakali
kaka, Tanzania bado tuna kiwanda chochote kinachofanya kazi?"Baiskeli za Cheng shang kwa madaha ndio zenyewe zina nguvu imara kama simba. zinabeba mzigo zaidi ya punda."
Nimelikumbuka tangazo la baiskeli. Hivi kiwanda chetu cha baisikeli kipo? kinafanya kazi?
Yaani msaada wa milioni 51 unapokelewa na Rais! Mkulu anatuaibisha kabisa na kutufanya WaTZ tuonekane so cheap. Kiasi hicho cha pesa kwangu mimi kingepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala na si Rais.
sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.Hapo kwenye nyekundu ni sawa, Lakini kuna ulazima gani misaada kupokelewa na Rais ndani ya ofisi ya IKULU, ?
sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.
[IMG said:http://img130.imageshack.us/img130/2863/jkviatu.jpg[/IMG]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.[/CENTER]
QUOTE]
Hizi kama yebo yebo...[/QUOTE]
Ni kweli wamemfungia Yeboyebo na ukimwangalia sura yake mkuu kazistukia kwani (uso kakunja) zinatumika sana kule Chalinze,Madesa, Lugoba, Msata etc
mimi sioni tatizo au kosa ''kwa kukutana tu''Kwa JK hii ni "hobby" yake. Kukutana na kila mtu. Iwe ni kwa shida au vinginevyo. Wachina, Wajapan na Wakorea ni wagonjwa wa misifa. JK anajua hilo.
mimi sioni tatizo au kosa ''kwa kukutana tu''