NAOMBA urafiki na mtu ALIYE somea fani ya oil and gas management Kwa sasa mm bado niko chuo nafanya master ndo naingia mwaka wa 2 Niko nje ya nchi.. Naitaji RAFIKI ALIYE kwenye fani hiyo.. Send
Me private msg Kwa apa jf Kama ina wezekana. Shukran .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.