unataka kusoma nn kwenye oil and gas
Shwari mkuu,nchi yetu tupo nyuma sana,tunaingia kwenye industry hii bila maandalizi ya kutosha,haya mambo ni ya kujiandaa mapema lkn mpaka sasa hakuna hata chuo kimoja ,nasubiria hizo contacts mkuu nijaribu kouna ni kipi nitaweza kufanikisha kwa kadiri uwezo utakavyoniruhusu.oil and gas aise kwa tanzania mh najua hata hao wtu wa songaz wengi walipitia south africa kupiga brush,au namibia jaribu ku google NAMF.NA namibia au angalia cape town college of technology ada kama rand 6000 zidisha kwa 180 unapata jumla na kuna college ipo durban pia south africa ntaiangalia nikuwekee hapa ada karibu sawa ni 5days course chet ya kimataifa.hata ukitaka awe anaendesha private yatch wana train
Shwari mkuu,nchi yetu tupo nyuma sana,tunaingia kwenye industry hii bila maandalizi ya kutosha,haya mambo ni ya kujiandaa mapema lkn mpaka sasa hakuna hata chuo kimoja ,nasubiria hizo contacts mkuu nijaribu kouna ni kipi nitaweza kufanikisha kwa kadiri uwezo utakavyoniruhusu.
Mkuu wao ni literature zaidi,amini graduate wa UDOM au UDSM hakuna anachojua katika real field zaidi ya kukariri kwa ajili ya GPA tu.Ni bora hata mtu aliyesoma VETA maana yeye yuko practically zaidi.UDOM na UDSM wanatoa hizo kozi ila ni full time 3 yrs petroleum geology n petroleum chemistry na 4 yrs kwa engineering!!
Mkuu wao ni literature zaidi,amini graduate wa UDOM au UDSM hakuna anachojua katika real field zaidi ya kukariri kwa ajili ya GPA tu.Ni bora hata mtu aliyesoma VETA maana yeye yuko practically zaidi.
Na pia si kila mtu anauwezo wa kufika university.
Mkuu zama za kishamba za kutishana zimepitwa na wakati,short course zipo sana tu,nchi kama south Africa,Angola na Algeria wanafundisha toka kitambo tu,tatizo hatuko specific na hatuna vipaumbele.Unataka kusoma Oil & Gas kwa kupitia short course?
Sina uhakika mkuu kama upo serious, maana hii sio fani ya ushonaji au upishi
Unataka kusoma Oil & Gas kwa kupitia short course?
Sina uhakika mkuu kama upo serious, maana hii sio fani ya ushonaji au upishi
Mkuu zama za kishamba za kutishana zimepitwa na wakati,short course zipo sana tu,nchi kama south Africa,Angola na Algeria wanafundisha toka kitambo tu,tatizo hatuko specific na hatuna vipaumbele.
Mkuu wao ni literature zaidi,amini graduate wa UDOM au UDSM hakuna anachojua katika real field zaidi ya kukariri kwa ajili ya GPA tu.Ni bora hata mtu aliyesoma VETA maana yeye yuko practically zaidi.
Na pia si kila mtu anauwezo wa kufika university.
jamani oil and gas hebu muigoogle muone training zake ni 5days hiyo miaka 4 ya stress sio wote wanataka short ni ya kutambua uokoaji .uzimaji wa moto ku drill nk hizo zenu za udsm na udom wekeni mende wale magamba .south africa wanatoa course fupi kwa bei ndogo tu na unapiga job dunian kote
Mkuu, mm ni Graduate Mining Engineer kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam,ukweli si simple kama unavyofikiri kuhusu Oil & Gas industry kwa ujumla kuwa na course fupi, hata hizo nchi za South Africa, Angola, Algeria, Nigeria,USA na Canada no course fupi, kama kweli unataka kusoma fani ya oil and gas basi achana na dhana ya course fupi kwa njia ya mkato kiongozi, tafadhari jipange usome kati ya BSc Mining Engineering/Engineering Geology/Petroleum Geology.