Oil and gas training

Oil and gas training

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
345
Habari wana jamvi? Kwa yeyote mweye contats za taasisi au chuo chochote kinachotoa short training katika mambo ya oil na gas
itakayo mwandaa kijana tayari kwa soko la ajira hapa nchini Tanzania,tafadhali anijuze. Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.
 
unataka kusoma nn kwenye oil and gas

iwe ni specific exploration au yoyote itakayo compete na sko jipya la ajira katika industry hii mpya hapa Tanzania,kama handling,transportation,distribution n.k
 
oil and gas aise kwa tanzania mh najua hata hao wtu wa songaz wengi walipitia south africa kupiga brush,au namibia jaribu ku google NAMF.NA namibia au angalia cape town college of technology ada kama rand 6000 zidisha kwa 180 unapata jumla na kuna college ipo durban pia south africa ntaiangalia nikuwekee hapa ada karibu sawa ni 5days course chet ya kimataifa.hata ukitaka awe anaendesha private yatch wana train
 
Shwari mkuu,nchi yetu tupo nyuma sana,tunaingia kwenye industry hii bila maandalizi ya kutosha,haya mambo ni ya kujiandaa mapema lkn mpaka sasa hakuna hata chuo kimoja ,nasubiria hizo contacts mkuu nijaribu kouna ni kipi nitaweza kufanikisha kwa kadiri uwezo utakavyoniruhusu.
 
UDOM na UDSM wanatoa hizo kozi ila ni full time 3 yrs petroleum geology n petroleum chemistry na 4 yrs kwa engineering!!
 
Mkuu wao ni literature zaidi,amini graduate wa UDOM au UDSM hakuna anachojua katika real field zaidi ya kukariri kwa ajili ya GPA tu.Ni bora hata mtu aliyesoma VETA maana yeye yuko practically zaidi.
Na pia si kila mtu anauwezo wa kufika university.
 
Unataka kusoma Oil & Gas kwa kupitia short course?

Sina uhakika mkuu kama upo serious, maana hii sio fani ya ushonaji au upishi
 
Unaamaanisha mtu atoke chuo awe expert? Ushaona wapi hiyo. Kila mtu akitoka chuo anakuwa na theory tu za operation na sio hands on experience, ndio maana akiingia kazini anaanza kama trainee then anakuwa expert kadri muda unavyoendelea.
 
Unataka kusoma Oil & Gas kwa kupitia short course?

Sina uhakika mkuu kama upo serious, maana hii sio fani ya ushonaji au upishi
Mkuu zama za kishamba za kutishana zimepitwa na wakati,short course zipo sana tu,nchi kama south Africa,Angola na Algeria wanafundisha toka kitambo tu,tatizo hatuko specific na hatuna vipaumbele.
 
Kwa nini nikutishe mkuu...hebu jaribu kutafakari kama mwana sayansi:

Kwa kawaida kozi za uhandisi wa Oil and Gas kwa ngazi ya shahada huchukua miaka 4 na hapo mhitimu bado anakuwa sio 'competitive' kwenye soko la ajira.

Labda kama utueleze kuwa tayari una shahada ya kwanza ya masuala haya isipokuwa unataka tu kuongeza ujuzi wa kitaaluma.

Na ukitaka kusomea utawala au uongozi wa masuala haya mara nyingi kozi zake hutolewa ngazi ya Uzamili na hapa Tanzania hakuna vyuo vyenye kutoa ngazi hii.
 
kwaiyo mkuu unataka kuniambia kwa ugunduzi huu wa gesi nchini watakao faidika ni watu wenye shahada tu Na kuendelea?
Form four,six,certficates /FTC wao watatengwa?(mwanzo wa sera mbovu),Si kila kazi kwenye industry hii itafanywa na expatriate.Hii ni industry pana sana kuanzia exploration,drilling,handling,purifying,transporting etc,sasa sitegemei kote huku watafanya watu expatriate kutoka nje kama ilivyozoeleka kwa makampuni mengi ya kigeni hapa Tanzania.
Ni wakati mwafaka kwa VETA kuanndaliwa ilikuweza ku train hil kundi kubwa la vijana wasionakazi waweze kuingia kwenye ajira hizi .
Hata UDSM na UDOM Wanayonafasi ya kuangalia kundi hili la vijana kambao ni wengi katika jamii,,mbona UDSM wameweza kwa kufungua UCC?
 
Mkuu, mm ni Graduate Mining Engineer kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam,ukweli si simple kama unavyofikiri kuhusu Oil & Gas industry kwa ujumla kuwa na course fupi, hata hizo nchi za South Africa, Angola, Algeria, Nigeria,USA na Canada no course fupi, kama kweli unataka kusoma fani ya oil and gas basi achana na dhana ya course fupi kwa njia ya mkato kiongozi, tafadhari jipange usome kati ya BSc Mining Engineering/Engineering Geology/Petroleum Geology.
 
project maritime training .pobox 7033 saldanha bay 7359. tel +2722714064 na fax +270227140614 fax2email +27866255460
 
jamani oil and gas hebu muigoogle muone training zake ni 5days hiyo miaka 4 ya stress sio wote wanataka short ni ya kutambua uokoaji .uzimaji wa moto ku drill nk hizo zenu za udsm na udom wekeni mende wale magamba .south africa wanatoa course fupi kwa bei ndogo tu na unapiga job dunian kote
 
UDOM kuna certificate na Diploma mwisho wa kuomba 21.8.2014. Wahi kwenye website yao
 
Mkuu wao ni literature zaidi,amini graduate wa UDOM au UDSM hakuna anachojua katika real field zaidi ya kukariri kwa ajili ya GPA tu.Ni bora hata mtu aliyesoma VETA maana yeye yuko practically zaidi.
Na pia si kila mtu anauwezo wa kufika university.

sa hio short course unayotaka utakuwa competent ukilinganisha na aliesoma 3 or 4 yrs!kinachosaidiya sana kwa wanaosoma engineering au petroleum geology ni practical training angalau m2 unajifunza kiasi flan kwa vitendo
 
jamani oil and gas hebu muigoogle muone training zake ni 5days hiyo miaka 4 ya stress sio wote wanataka short ni ya kutambua uokoaji .uzimaji wa moto ku drill nk hizo zenu za udsm na udom wekeni mende wale magamba .south africa wanatoa course fupi kwa bei ndogo tu na unapiga job dunian kote

short course inayoifaham mimi ni safety course ambayo ni wiki 2 ambapo kwasasa nchi nyingi wanaitoa!sa we utasoma hio then uende kufanya kazi wap labda ka unakadegree au kadiploma ka kuongezeya CV!!
 
Mkuu, mm ni Graduate Mining Engineer kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam,ukweli si simple kama unavyofikiri kuhusu Oil & Gas industry kwa ujumla kuwa na course fupi, hata hizo nchi za South Africa, Angola, Algeria, Nigeria,USA na Canada no course fupi, kama kweli unataka kusoma fani ya oil and gas basi achana na dhana ya course fupi kwa njia ya mkato kiongozi, tafadhari jipange usome kati ya BSc Mining Engineering/Engineering Geology/Petroleum Geology.

Mining usisome ni hayo tu
 
Back
Top Bottom