oil and gas

oil and gas

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
natafuta title la dissertation yangu ya masters, napenda ni deal na mazingira katika oil and gas industry, kwa wadau mlioko katika sector hyo naomben msaada kuni alert matatizo makubwa ya kimazingira yanayosababishwa na oil and gas exporation, soon next month natarajia kutembelea mitaa hiyo ili niweze kupata cha kufanya lakin kabla ya kuja ningependa niwe naelewa at least kidogo
 
Back
Top Bottom