brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Akizindua msimu mpya ya wasafi festival Diamond platnumz amesema mkongwe wa hip hop Dudubaya atapanda stage ya wasafi festival na wakali wengine.
"Nimeongea na uongo ili kuweka wakongwa ambao hawajatoa nyimbo muda mrefu nao waweke kupanda jukwaani watu wamewamiss , dudubaya ni Kaka nitufurah kupanda nae jukwaa moja.
Wasafi festival itaanza rasmi tarehe 24 novemba mkoani mtwara ikifuatiwa na Iringa na Morogogo