Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Nadhani inatokana na neno 'concertated', kama inavyojulikana neno hilo hutumika kueleza kemikali ambazo hazijawa diluted kwa hiyo zinakuwa kali sana. Kwa hiyo kufupisha plus kutohoa ndipo likazaliwa neno konki. Kwa hiyo konki ni kitu hatari/kikali.Konki Konki Konki masta. Raha Konki itamke mara Tatu. Hivi maana ya Konki ni nini?Hongera sana kwake kama kapata shavu.
Ni mawazo yangu tu lakini.