Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Wadau wa magari na vyombo vya moto mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kasi ya engine za magari na machine kuharibika kutokana na tatizo la oil fake limekuwa kubwa na likiongezeka kwa kasi kila siku.
Naomba serikali kupitia mamlaaka zinazodhibiti bidhaa fake wafuatilie suala hili kwa haraka ili kuokoa vyombo vya usafiri na machine za watu hali ni mbaya sana.
Naomba serikali kupitia mamlaaka zinazodhibiti bidhaa fake wafuatilie suala hili kwa haraka ili kuokoa vyombo vya usafiri na machine za watu hali ni mbaya sana.