Oil fake ni janga serikali iingilie Kati

Oil fake ni janga serikali iingilie Kati

Castrol nazo Wahuni washaanza kuzichakachua.

Ushahidi huu hapa.

Hii Chini ndo Orijino Castrol Oil A5
1503532198469.jpeg
 
Attachments

  • 1503532198469.jpeg
    1503532198469.jpeg
    14.9 KB · Views: 43
Ivi ile thread ipo kweli au ilifutwa
unajua kesi inayo msumbua ndugu na brother wetu JF kwa nini ,kuna watu hapa tz sio wazerendo na nchi yao,unakumbuka mada moja ya mafuta na jinsi michezo michafu ilivo kuwa .
tusije kuongezewa masharti jf na kusababisha jf kila siku kushinda mahakamani
 
Juzi jamaa kawekewa oil flan ila ni mpya ilo sealed kbs cha kushangaza katembea 6Km taa zote za dashboard zikawaka. Katika kuchunguza, oil ilikua chini sana, imepungua. Akamwaga aweke nyingine anayowekaga siku zote. Alipomwaga kilichotoka sio oili, ni kama mchuzi roast wa kanga pori.

Tatizo ni kubwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Juzi jamaa kawekewa oil flan ila ni mpya ilo sealed kbs cha kushangaza katembea 6Km taa zote za dashboard zikawaka. Katika kuchunguza, oil ilikua chini sana, imepungua. Akamwaga aweke nyingine anayowekaga siku zote. Alipomwaga kilichotoka sio oili, ni kama mchuzi roast wa kanga pori.

Tatizo ni kubwa.
 
TBS wako bize kukagua vifungashio vya barafu na karanga, mambo makubwa kama hayo hawajihusishi nayo
 
Back
Top Bottom