Ushahidi wa nini?
unajua kesi inayo msumbua ndugu na brother wetu JF kwa nini ,kuna watu hapa tz sio wazerendo na nchi yao,unakumbuka mada moja ya mafuta na jinsi michezo michafu ilivo kuwa .Wadau wa magari na vyombo vya moto mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kasi ya engine za magari na machine kuharibika kutokana na tatizo la oil fake limekuwa kubwa na likiongezeka kwa kasi kila siku.
Naomba serikali kupitia mamlaaka zinazodhibiti bidhaa fake wafuatilie suala hili kwa haraka ili kuokoa vyombo vya usafiri na machine za watu hali ni mbaya sana.
Kwani hapa kuna mtu katajwa mkuu.?unajua kesi inayo msumbua ndugu na brother wetu JF kwa nini ,kuna watu hapa tz sio wazerendo na nchi yao,unakumbuka mada moja ya mafuta na jinsi michezo michafu ilivo kuwa .
tusije kuongezewa masharti jf na kusababisha jf kila siku kushinda mahakamani
Hapana ukisema hivyo unakosea, tuwekee hapa ili hao wenzio wanaoendesha wajifunze wasije nunua hizo oil. Pia sisi wa baiskel huenda siku tukaokota tukanunua gari, itatusaidiaNyie mnaoendesha baiskeli mtupishe bana mnajaza server hapa bila sababu za msingi .
100% naunga mkono hoja.Wadau wa magari na vyombo vya moto mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kasi ya engine za magari na machine kuharibika kutokana na tatizo la oil fake limekuwa kubwa na likiongezeka kwa kasi kila siku.
Naomba serikali kupitia mamlaaka zinazodhibiti bidhaa fake wafuatilie suala hili kwa haraka ili kuokoa vyombo vya usafiri na machine za watu hali ni mbaya sana.
Nyie mnaoendesha baiskeli mtupishe bana mnajaza server hapa bila sababu za msingi .
Nakuongezea na oryx na pia bp zinaenda kutolewa na kubakia castrol oil pekee yakeUshauri wangu kwenu hasa wale wanasafiri zaidi kwenda mikoani tafadhali kabla ya kufanya service tafuta oil zenye kueleweka Mimi huwa natumia BP oil au total
Hizo brand wanafyatua fake mkuu huwezi kuamini. BP , Total , Castrol zilikuwa zinaaminika sana lakini hivi sasa wanachakachua wajanja kujipatia fedha.Ushauri wangu kwenu hasa wale wanasafiri zaidi kwenda mikoani tafadhali kabla ya kufanya service tafuta oil zenye kueleweka Mimi huwa natumia BP oil au total
Tatizo mamlaka za serikali ndio zinathibitisha kuwa sio fake wakati wa kukagua mzigo unaoingia nchini.... Rushwa na uzalendo ni dhana pana sanaWadau wa magari na vyombo vya moto mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kasi ya engine za magari na machine kuharibika kutokana na tatizo la oil fake limekuwa kubwa na likiongezeka kwa kasi kila siku.
Naomba serikali kupitia mamlaaka zinazodhibiti bidhaa fake wafuatilie suala hili kwa haraka ili kuokoa vyombo vya usafiri na machine za watu hali ni mbaya sana.