Oil fake ni janga serikali iingilie Kati

Castrol nazo Wahuni washaanza kuzichakachua.

Ushahidi huu hapa.

Hii Chini ndo Orijino Castrol Oil A5
 

Attachments

  • 1503532198469.jpeg
    14.9 KB · Views: 43
Ivi ile thread ipo kweli au ilifutwa
 
Juzi jamaa kawekewa oil flan ila ni mpya ilo sealed kbs cha kushangaza katembea 6Km taa zote za dashboard zikawaka. Katika kuchunguza, oil ilikua chini sana, imepungua. Akamwaga aweke nyingine anayowekaga siku zote. Alipomwaga kilichotoka sio oili, ni kama mchuzi roast wa kanga pori.

Tatizo ni kubwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
TBS wako bize kukagua vifungashio vya barafu na karanga, mambo makubwa kama hayo hawajihusishi nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…