muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Hi members,
Kuna oil nyingi za magari kuanzia, Orxy, BP, Castrol,Shell, Engen na zingine nyingi kulingana na eneo uliopo. Kwa thread hii tusaidiane ni oil ipi nzuri kwa kwa gari kwenye ila kwenye swala la bei naomba tuliweke pembeni kidogo maana waswahili wanasema the higher the price, the higher the quality ila kwa wakati mwingine inaweza kuwa sio sahihi.

- Kupeleka gari mileage nyingi kupunguza service za mara kwa mara
- Nyepesi na haifanyi gari kuwa nzito na kukosa nguvu kwenye sehemu za miinuko
- Inafanya gari kuwa na maisha marefu
- Unawezakuweka kigezo kingine kwa choice ya oil unayotumia