Oil sahihi Kwa injini za Boti

Oil sahihi Kwa injini za Boti

Hizo Rimula, Omala, Tellus, Castrol,Liqui Molly, Penasol, Shell hao ni watengenezaji wa oil hata Tanzania tuna Orxy,Lake Lubes,Oilcom na mogas. Mimi nimelenga content za ndani kwenye oil itayotakiwa kutumika na injini za Boti ndogo.

Oil ya gari au pikipiki Unaweza kutumia kwenye boti ila itakuwa unapunguza maisha ya chombo sababu injini ya boti inafanya kazi kwenye mazingira ya maji,unyevu ambayo ni Rahisi kupata kutu lakini oil ya gari na pikipiki aina additive za Ziada kupambana na kutu
 
Shukran mkuu umeeleza vema sana

Kwa kuongezea nyama

Pia melin tunaangalia sana

Viscosity ( huko ndo tunapata hydraulics, lubricant, ama transmission)

Zile content nyingne naona makampuni yenyew huwa wanayazingatia kwa kuboresha masoko yao

-Viscosity (hapa Kuna kinetic na index)
Bila shaka hoja yako imebase sana kwenye viscosity index.

-flash point
-detergent
-colour ( huwa hazifanani hata harufu pia kama una pua nzuri utaanotes kitu)
-cloud point
-pour point

Zipo nyingi sana Ila kwa haraka nazikumbuka hizo tu
 
Hii ni Kwa ajili ya injini Ndogo za Outboard Engines ( injini za kuning'inia nje).

Kwa injini za kukaa ndani (Inboard Marine Engine(sijagusia maana Kuna namna nyingi ya kuziweka kwenye makundi Kwa speed, strokes na cylinder arrangements.

SAE- ni Society of Automotive Engineers Hii ni kama jumuiya ya wahandisi wa Mitambo,mashine na magari yote huwa wanaweka viwango Fulani katika vilainishi vya Mitambo,gari na vitu mbalimbali.

Mkuu umerudi Jiji la Makalla.
Bado sijarud mkuu
Najitahid nipige at least nyundo moja
 
Kumbe hapo, ngoja niuze kipande cha shamba la urithi, nivute chuma, mwendo wa kulala majini tu.
Fanya hivyo Kaveli, Pale Slip way Kuna watu wanalala kwenye Boti,Yatch ndio maisha Yao ya kila siku. Akitaka vitu anaita boti ndogo inamfata na kumrudisha mpaka sehemu ya nchi kavu kwenye gati.
 
Wadosi naona wanakuja Ila naona Kuna taarifa njema kwetu kwamba Kuna uwezekano wakafungiwa kuingia huku kwa mwarabu

Inabid tuongeze ubani kwenye chetezo ili wafungiwe kwel
Hiyo kazi mpeni Mshana Jr, mabaharia wote wa Saudia,Dubai,Iran na Oman mtumieni dollar mkongwe achome ubani barabara wadosi wapigwe ban ya kudumu.
 
Back
Top Bottom