Leembaswagger Senior Member Joined Aug 1, 2012 Posts 100 Reaction score 34 Nov 2, 2013 #41 Rwankomezi said: Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao. Click to expand... Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.k Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rwankomezi said: Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao. Click to expand... Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.k Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha
P P.DODGER New Member Joined Oct 25, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Nov 2, 2013 #42 nothing can develop without teachers
R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,636 Nov 3, 2013 #43 Leembaswagger said: Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.k Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha Click to expand... unajitambua kweli wewe?. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Leembaswagger said: Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.k Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha Click to expand... unajitambua kweli wewe?.