Leembaswagger
Senior Member
- Aug 1, 2012
- 100
- 34
Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.kJamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha
Last edited by a moderator: