Oil Tanker loses Control and Crushes into 5 cars before Exploding in Naivasha, 40 feared Dead

Oil Tanker loses Control and Crushes into 5 cars before Exploding in Naivasha, 40 feared Dead

1481466322493.jpg


The Tanker was Transporting a Gas state Chemical agent

It was allegedly Being escorted by the Recce squad unlike earlier reports that The recce squad was from Kenyattas service in Bomet

Upon losing control the content Leaked and The arrays of ammunition In the police van sparked and explosion -allegedly

1481466440141.png
1481466460169.jpg
 
11 OUT of the 33 dead in Naivasha officers from the GSU Recce unit which protects President Kenyatta and VIPs, State House confirms.
Du!!!


Rais ameahirisha ziara yake katika Kaunti ya Narok ambapo alifaa kuzuru Jumanne Desemba 13 ili aweze kwenda kutembelea familia za maafisa 11 wa GSU wa kitengo cha kulinda watu mashuhuri waliofariki katika barabara ya Naivasha-Nakuru,” akasema msemaji wa Ikulu Manoah Esipisu.

Lori hilo lililokuwa limebeba bidhaa zinazoshika moto kwa urahisi na lenye nambari za usajili UAK 519C, liligonga tuta la barabarani na kisha kupoteza mwelekeo kabla ya kulipuka na kuteketeza magari mengine 12.

Kulingana na Mamlaka ya Usafirishaji na Usalama Barabarani (NTSA), magari 11 yaliyohusika katika ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili yalikuwa ya kibinafsi huku jingine lilikuwa la usafiri wa umma.
Matatu ilikuwa imebeba abiria 14 ambao wote waliangamia katika ajali hiyo.

Lori hilo lilikuwa likitoka Mombasa na kuelekea Magharibi mwa Kenya.
Maafisa wa polisi wa Recce ambao ni tawi la kitengo cha GSU, walikuwa wakielekea jijini Nairobi wakitokea katika maeneo ya Bonde la Ufa ambapo Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto walikuwa walikamilisha ziara yao.

Gari lenye nambari za usajili GKB 961G, ambalo maafisa hao wa GSU walikuwa wameabiri liliteketea huku waliokuwemo wakiungua kiasi cha kutotambulika.

Akihutubia wanahabari katika Jumba la Harambee, Nairobi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Irungu Nyakera alisema kuwa bunduki tisa na risasi zilipatikana katika eneo la tukio.
Naibu wa Rais William Ruto alikuwa miongoni mwa viongozi waliozuru eneo la mkasa, Naivasha.

Waziri wa Usalama Joseph Nkaissery jana alisema kuwa serikali imeanzisha uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo huku akikanusha madai kwamba lori hilo lililosababisha ajali lilikuwa limebeba mafuta.

“Gari lililosababisha ajali lilikuwa lori dogo aina ya Canter lililokuwa limebeba bidhaa zenye uwezo wa kushika moto kwa haraka na wala si trela la petroli,” akasema Bw Nkaissery.

Waziri alisema kuwa serikali imeanzisha uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.

“Hatima ya dereva wa lori hilo bado haijulikani. Tumeanzisha uchunguzi ili kubainisha ikiwa ajali hiyo ilisababishwa na matuta ya barabarani au utepetevu wa dereva wa lori,” akasema Waziri wa Usalama.
Add a comment
 
Pole Kenya
Pole Uhuru Kenyata..
R.I.P marehemu wote...
Mungu awape subira wale wote walioguswa na mtihani huu...
 
Dua la kuku halimpati mwewe,

Hilo litawapata watanzania,Mungu halali!
May the universe reverse this and send it back to you and your people hundred folds, let Karma ,nature and God see to this...AMEN!!

Mpumbavu unaombea mamilioni wadhurike sababu ya mpuuzi mmoja alafu unaomba Mungu asaidie, mpumbavu wewe unapingaga masuala ya Mungu ukitetea mashoga wenzako alafu unamkumbuka ukiombea watu mabaya, wewe ni nyang'au fara sana, maombi yako ni kama fart tu, imeishia hewani hayawani wewe.
 
He has a point Samuel999, even in developed countries, we mustn't rule out anything, people are desperate to create chaos/sabotage!....look at his thoughts from another perspective.
Thanks!
I was thinking the same too..Remember that truck in France that rammed thru people?
 
He has a point Samuel999, even in developed countries, we mustn't rule out anything, people are desperate to create chaos/sabotage!....look at his thoughts from another perspective.
Thanks!
US embassy in Dar was blown by using water tanker trucks. Samuel999 ajuwe magaidi are weird people and they're not short of silly stupid ideas. Poleni majirani.
 
Poleni sana Wa-KE, lakini msichukulie hii ajali kijuu juu sana. Magaidi wana kila mbinu za kutekeleza malengo yao. Mnapaswa kwenda deep zaidi katika uchunguzi wenu. Gaidi si lazima atumie bunduki au bomu, anaweza kutumia chochote kitakachofanikisha malengo yake. Saa saba usiku oil tanker ni jambo la kushangaza.
Ni upuuzi chukulia mimi ni gaidi sawa?nataka kufanya maximum damage naingia naivasha sokoni na lori langu nakaanga watu...job done..lakini hii ni damu ya father krismass.
 
mbele yao nyuma yetu, Mungu aliwapenda zaidi ya tulivowapenda. Roho zao zipumkzike mahala pema peponi amina.
 
Back
Top Bottom