Nashukuru sana...Inavujia wapi? Weka picha inapovujia. Hafu sema upo wapi tukuelekeze gereji achana na wapiga ramli hao.
Nakuelewa mkuu...japo sidhani kama ni tatizo kubwa kiasi cha kununua gearbox mpya, nadhani bado sijampata fundi anayeelewa haya mambo vyema...Hakuna namna tatizo Hilo utalitatua nasema tena hakuna, zaidi Zaid utamaliza pesa zako tu
Ushauri
Nunua G box nyingine uendelee kufurahia gar lako.