Wakuu habari zenu...
Nimepata changamoto ya oil ya gearbox kuvuja kwenye Carina Si, nimepeleka gari garages tatu tofauti, wote wamebadilisha oil seals, tukafunga mpya, lakini bado tatizo lipo, tumejaribu kupunguza oil, lkn bado inavuja, je, tatizo laweza kuwa ni nini?
Naomba ushauri wenu.