A Anonymous Guest Sep 4, 2026 #1 Oil ya pikipiki tulikuwa tukinunua kwa Shilingi 12,000 ya Km 5,000 mwezi uliopita, sasa tunauziwa Shilingi 18,000 hadi 20,000. Inakuwaje tuna pandishiwa vitu namna hii jamani au nayo watasingizia mafuta yamepanda bei?
Oil ya pikipiki tulikuwa tukinunua kwa Shilingi 12,000 ya Km 5,000 mwezi uliopita, sasa tunauziwa Shilingi 18,000 hadi 20,000. Inakuwaje tuna pandishiwa vitu namna hii jamani au nayo watasingizia mafuta yamepanda bei?
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Sep 4, 2026 #2 Bei imepanda baada ya kiwanda bubu kufungiwa.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Sep 4, 2026 #3 Usinunue
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Sep 4, 2026 #4 Kama saruji nimesikia watajenga viwanda, na hili pia nahisi itakuwa hivyo hivyo