PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Aliyekuwa Naibu Meya wa Ilala Ojambi Didas Masaburi, amechukua fomu leo kuwani Jimbo Jipya la Kivule, Jijini Dar es Salaam. Ojambi kabla alikuwa Diwani wa Kata ya Chanika, Wilayani Ilala.
Soma, zaidi: Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa kuwania Ubunge
Soma, zaidi: Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa kuwania Ubunge