sanaaaaaBecks
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]He is better looking than CR; CR anang'aa cz ana pesa lakini Beckham ni natural.
Tukija kwenye swag; CR akasome kwa Beckham. Ana sophistication flani hivi
Mwisho kabisa, as a lady namprefer Beckham cz he is married(ndio ndoa inaongeza sauce) sababu nshamuona na his woman na anavyomtreat and they look so good you wanna be her.
Adhan tayari, ngoja nikapate iftar.
AnavutiaWhy Becks?
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu km comedian
[emoji23]Wameulizwa ladies mijibaba inajibu, au mna vichembechembe?
Messi hana habari na biashara hizi labda kama ameanza hivi karibuni[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu km comedian
Yaani anachekeshaga huyu mesiMessi hua hana habari na swala la muonekano ispokua hivi karibuni.
Mwana mama anafaidi kwa kweliI dont think that suit was ltalian at all, style in shoes oh yeah!! there they are a cut above but not in suits never
View attachment 783859
Does Victoria Beckham ever smile?
Yap yapMkuu kumbe upo