Ok, let's settle this. Who's got more sauce? Ladies

Ok, let's settle this. Who's got more sauce? Ladies

He is better looking than CR; CR anang'aa cz ana pesa lakini Beckham ni natural.

Tukija kwenye swag; CR akasome kwa Beckham. Ana sophistication flani hivi

Mwisho kabisa, as a lady namprefer Beckham cz he is married(ndio ndoa inaongeza sauce) sababu nshamuona na his woman na anavyomtreat and they look so good you wanna be her.

Adhan tayari, ngoja nikapate iftar.
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu km comedian
Messi hana habari na biashara hizi labda kama ameanza hivi karibuni
emoji2.png
emoji2.png
 
Back
Top Bottom