Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema ...👂👂👂.. ndio ukubwaNaelewa...huyo dada katili sana aisee 😥🤦♀️
Kwakweli apambane tu asikate tamaaUnasema ...👂👂👂.. ndio ukubwaView attachment 2739096
Yamekufanyaje kipenzi 😃😃Hayo ndio mapenzi🚮
leo nilikuwa kazini.. tukaanza jadiri vyakula vyangu. kumbe kumbi kumbi wakitoa mabwa wanakuwaga ndio jongooo 😅😅Kwakweli apambane tu asikate tamaa
Umeanza😃😃...Uongo bhana🤣🤣leo nilikuwa kazini.. tukaanza jadiri vyakula vyangu. kumbe kumbi kumbi wakitoa mabwa wanakuwaga ndio jongooo 😅😅
Haya mkuu jiongeze, wakubwa tumesha elewa...😊Unateseka ukiwa wapi
Mpe pole banna.Tayari [emoji18]
Sawa, pole 😃Mpe pole banna.
😅😅😅 ukweli kabisa huo Leejay49 hawa wanasha washa ila watamu sana🐛🐛Umeanza😃😃...Uongo bhana🤣🤣
jiandae kupokea mzigoUnitumie siku moja na mimi nijaribu ☺️
Sawasawa 🤗jiandae kupokea mzigo
Mapenzi hayajawahi kuelewekaYamekufanyaje kipenzi 😃😃
yanaeleweka vizuri sanaa Pacha 😅😅😅... kikubwa uwe na siraha za maangamiziMapenzi hayajawahi kueleweka
Muhurumie😄😄😄😄Unateseka ukiwa wapi
Mimi yamenishinda muda mrefu sana.yanaeleweka vizuri sanaa Pacha 😅😅😅... kikubwa uwe na siraha za maangamizi