Okay sweetheart now I'll let you go! Nenda mchumba🥺

haniiiiiiii oooo haniiiiiiii
 
We ni muongo we ni yuda, najuta kuwa nawe umenimepotezea muda.../

Nilifanya kosa kupanda mbigili nikitegemea itazaa tunda, nimelipwa mateke baada ya kumfadhili punda.../

Najuta kwanini kukuacha nilichelewa, endelea kudanganywa na urembo ukidhani ukitoka hapa utaolewa.../

Usione wanakupenda kisa zawadi ulizoletewa, wanataka kula tunda wasepe hata posa haitatolewa.../
 
Tutavumiliana kwenye shida na raha, huu huwa ni mtego ili umuamini na uwe naye kipindi upo vizuri ila ukiyumba tu unaachwa😃😃😃😃😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…