Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

Hili swali lilipaswa kuulizwa mtoto wa miaka mitano sasa kama nina miaka 30 nikachagua kuishi hadi miaka 40 inamaana nitaishi kwa miaka 10 tu!!!😳
 
Maisha ya umaskini ni nusu kifo ...Miaka 80 mingi sana labda uwe na nguvu ,kuna wengine miaka hiyo wanateseka kwa kujisaidia bila ya kujua wengine hapati ladha ya chakula chochote kile.
 
Vipi mkuu, unataka kuuza nafsi.
 
Miaka 40 ni sawa na miaka 30 ya kuishi sasa umepiga hesabu hii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…