Okejepha sio mchezaji wa kukaa benchi alafu ngoma akaanza

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,553
Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma.

Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo.

Mara nyingi sub ambazo anafanya ni zile zile hasa akipata matokeo kipindi cha kwanzo....atawapumzisha wale wachezaji muhimu basi imeisha hiyo!!

Okejepha, sio DM, sio mpiga pasi mzuri ila ana uwezo mzuri sana wa kuvuruga counter attacks na kuituliza timu, kuna mtu anaweza kujibu kimpira kwanini jana hakuanza instantilly kipindi cha pili kilipo anza???, nani akijibu kiufasaha nimuelewe

Nilishawahi kusema, ZIMBWE NA KAPOMBE, ni wachezaji wazuri lakini wametumika kwa muda mrefu, huwezi kuwategemea kwenye kikao mechi watakupa kiwango kile kile.

Kwanini hili wachambuzi wenu hawalisemi??, Valentine Nouma kwanini haichezi??, ndio maswali ya nyingi wana simba kuhoji humu na sio kila siku kuitukana YAnga, utapata faida gani na timu yenu bado haipo vizuri.

Point kuu na kubwa, nikisema ile mechi ya derby kati ya Simba na YAnga, ni wazi sisi tuliogopa mechi na kuleta figisu nitakuwa nimekosea

Nikisema ile mechi ukirudiwa hata kesho bado tutafungwa bado nitakuwa nimekosea???

NB:NIMEONGEA HAYA ILI MO DEWJI IMFIKIE ATOE HELA HUWAPA MORALI WACHEZAJI ILI TUSHINDE MECHI YA MARUDIANO.......KAULI YANGU INAISHI!!!!!
 
Kocha huwa anakuwa nao wachezaji kwa muda mwingi Kila siku ndiye anafahamu utimamu wa mchezaji kiakili na mwili mna mlaumu kocha bure wachezaji mbona walikuwa wanafika golini tena mara nyingi ni puuu yaani mchezaji na goli lakini hafungi

Kipimo kizuri kilikuwa ni derby ya tarehe 08-03-2025, ambayo mliikimbia
 
Mtu kama ateba unamuanzisha na ni mnene na ana kitambi kweli? Hivi ni kulogwa ama ni nini
 
Hata yeye hamna kitu, Simba tuna Che Malone, Pin pin, Zimbwe na Mpanzu
Wengine wanazidi wa na yule mda wa Yanga princess
 
Back
Top Bottom