Okoa mtoto wa kiume, okoa jamii endelevu

Okoa mtoto wa kiume, okoa jamii endelevu

Joined
May 16, 2024
Posts
4
Reaction score
1
Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali.

Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na kazi, au kuwaacha watoto na uncle na cousins wakati ni wadogo wazazi wakiwa busy wakiamini msichana wa kazi atalea vizuri.

Imagine mtoto alielawitiwa hata mzazi ukijua ukampeleka hospital akapona,sidhani kama kuna utafiti ushaonesha watoto hao wakifanyiwa councelling wanasahau trauma zote,wengine wanagundulika wamezoea kufanyiwa vitendo hivyo ni ngumu sana kwao kuacha ukubwani.

Serikali inasisitiza miaka thelasini jera kwa kosa hili ila haijaweka mikakati madhubuti ya kulitokomeza au basi kulipunguza, na hawa vijana/watoto ndio tunatarajia wawe viongozi wa kesho,Je serikali haioni kuwa kizazi kinaangamia na vitendo vinakuwa kwa kasi?

Ni wakati sasa serikali ilivae hili suala km lile la madawa ya kulevya,vijana walioisha kubuhu wapelekwe rehab wakafanyiwe conceling hadi wapone vizuri pschologia then serikali ije na mikakati kupitia idara zote ni kwa vipi wanaweza kumaliza hili tatizo

1. Kwa kuonesha ukali wa sheria juu ya makosa haya

2. Kwa kuelimisha familia,wazazi,vijana na kila mwanachi juu ya kumlinda mtoto wake kwa kuonesha ukubwa wa tatizo

3. Kutengeneza mifumo ya kuwafanya vijana wa kiume waheshimiane sana mfano vyoo vya wavulana shuleni isiwe sehemu ya wazi wanayopata huduma kwa pamoja(kuwe na privacy),
 
Back
Top Bottom