Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
OKOA MWANAMKE ASIFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE(kufirwa).
Tuwasaidie wanawake wanao lazimishwa na waume zao au wachumba zao kufanya ngono kubwa(kinyume na maumbile), kwani wengi wanapata matatizo sana wakati wa kujifungua:,
-wanakuwa wanaachia mishuzi sana wakati wa kujifungua sababu ya ngono kubwa.
-wanajiharishia wakati wa kujifungua bila breki inakuwa kero kwa mkunga.
-Inaambatana na fisitula wakati mwingine.
-Ni aibu sana maana pia kujamba jamba hata hadharani bila mategemeo.
Mungu ameumba Sehemu maalum ya kunogesha penzi ambayo ina unyevunyevu maalum, sasa wewe unageuza kinyume na maumbile Mungu anavyotaka halafu unanukiwa na harufu ya kinyesi.
Natumia maneno makali ili turekebishane bila kificho, situmii tafsida ili ujumbe uwachome zaidi.
Deogratius Nalimi Kisandu.