Okoa ndoa hii

Okoa ndoa hii

Hakuna cha kufanya zaidi ya kungojea siku ya siku..., na kuomba mungu traits za huyo mwizi mwenzake zisionekane....

Kuna njia moja nyingine ambayo simshauri mtu.., lakini if there was no way out na mtu akanipa hii quiz niweze kuisolve...
miscarriage, can be the answer.. au kama kweli anampenda huyo mwizi amwambie anao ujauzito wake na aende kuishi nae

The Choice is yours....
 
anitumie namba ya mmewe nimwambie mumewe ambwage fasta huyo kicheche.
 
watoto wote wakifanyiwa dna
itakuwa timbwili la asha ngedere kila mtaa

The boss we acha tu, mwenzenu nimelea mimba si yang 4 four months, utrasound ikaja kunifungua macho, naugulia tu hapa, hata kipimo kikubwa sjapima.
 
wakati mwingine sisi wanawake mambo mengine huwa tunajitafutia, mtu umeachana na ex by miaka imepita kisha unaenda kukutana nae pekupeku unategemea nini, hayo ndio malipo yake angetumia hata njia za uzazi basi kama alijua atachepuka nje, kilichobaki asubirie mbuvu au mbichi
 
Kwa upande wangu,kama kweli huyo mme kampenda mke wake,sioni kosa la kuto kuendelea kumpenda mkewe maana historia kama hiyo nimewai kuiona hapa ulaya (Canada). Mzungu aliyemuowa dada yetu fulani wa ki-Afrika (mweusi) alijikuta anamlea mtoto mweusi wala asiye mfanana babake,huku dada yetu huyo alikuwa akimuakikishia kuwa ni mwanaye du!!!Basi hapo hospitalini damu ilipopimwa,dadetu kajikuta ni uongo mtupu.Na mme huyo akaamua kuendelea na mpenzi wake licha ya uongo huo,mtoto huyo akawa wake tu pasipo shida wala tatizo.Aliendelea kumtimizia kila kitu,alimnunulia gari mpya ,nyumba mpya na kumpa chochote alichokipenda.Hadi leo hii wanaishi pamoja na mtoto yupo na miaka mine imepita sasa;wala hautasikia mzungu huyo anamletea ubaguzi wowote,isipokuwa tu wanapokuwa kwenye sikukuu za sisi wa-Afrika kila mtu hushangazwa na kutaka kufahamu ni nani dada huyo aliyemdanganya mzungu namna hiyo.Tusisahau kwamba hata sisi wanaume (hasa kwa wakati huu) tunafanya mambo makubwa zaidi ya hayo dhidi ya wake zetu ;na , tusidhani kuwa waliogerezani ni wabaya dhidi ya wasiofungwa...
 
Ndugu huko ni Canada,mazingira ni tofauti sana!
 
asitusumbue, amelikoroga mwenyewe mwache alinywe!
 
Hapo sasa iokolewe kivipi? kwani ye mwenyewe alikua hajijui kwamba ameolewa tena na mume anaempenda mpaka kwenda kulala na huyo ex wake tena bila kinga? Hivi sisi wanawake tukoje jama kha! mimi sioni sababu ya yeye kung'ang'ania kuokoa hiyo ndoa inaonekana kabisa hampendi huyo mumewe.
 
Fikiria kama ni wewe uko kwenye situation ya namna hii ungependa ushauriwe hivi?
 
Daah! hapo hamna cha kuokoa ndoa hiyo inaweza kuvunjika mda wowote pale mtoto atapozaliwa chotara kama anaweza apoteze ushaidi ila napo atakuwa amemkosea mungu
 
Kama kweli anataka kuokoa ndoa hii ni yeye mwenyewe kumwambia mumewe ukweli. then let her face the consequences. Atavuna alichopanda!
 
mie nahisi za mwizi zimefika.. sidhani kama huyu dada hakuwa na mawasiliano na huyu jamaa.. Nina mashaka na kukutana kwao huko Zimbabwe ilikuwa ni mipango yao. Sioni kama walikutana kwa bahati mbaya hawa huko Zimbabwe. Ila sasa shetani ndo kaamua kumueleleza akaondoka na mimba.. pole yake aisee..
 
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!

huyu mwanamke ni shetani mzee, yaani alikumbushia na huyo EX bila kuvaa condom?? Mke wa mtu umekula kiapo kwa Mungu then unaendacheat tena bila kumjali mumeo unapigwa kavukavu? Tunamchezea sana Mungu tunapokula viapo vya ndoa halafu tunafanya mambo ya kishenzi namna hii.
Kama mimi ni mume nikijagundua yaani talaka ataipata huko huko na this marriage is over!!
 
Kwahiyo Mkuu issue ni Protection...
 
Both: Infidelity na kupigwa kavukavu
Yeah its True lakini maji yameshamwagika na huu ndio ushauri niliompa nadhani zaidi ya hapa hakuna jinsi....
  • kuomba mungu traits za huyo mwizi mwenzake zisionekane, kwahiyo she should live with a lie
  • miscarriage, hence get lead of the evidence
  • au kama kweli anampenda huyo mwizi amwambie anao ujauzito wake na aende kuishi nae
Sidhani kama kuna njia yoyote zaidi ya hapa
 
Yaani uko ok jamaa abandikwe zigo sio lake hapo kwenye red? I wish mtoto atokee chotara na huyo mume aje kujua yote then amtose tu huyo mke. Alichokifanya huyu mke ni dhambi kubwa sana. Ndio maana tunauana na HIV kijingaaaa, jamaa wa watu maskini anajichunga na vishawishi kumbe work done is equal to zero! Ndio maana ukimwona mgonjwa wa ukimwi usimcheke, anza kujihurumia mwenyewe kabla hujamhurumia. Ndoa za leo yaani hakuna morals kabisa.
 
Back
Top Bottom