Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

Lengo lipi?
Vipi mechi ya marudiano na hao Monastir kwa Mkapa, walipata goli ngapi au Yanga ilienda kukodi mabeki warefu? Au Monastir hawakupata kona hata moja au set pieces yeyote ile?
 
Na aache bapa, nasikia ni mtu wa Tungi huyu dogo
 
Lengo lipi?
Vipi mechi ya marudiano na hao Monastir kwa Mkapa, walipata goli ngapi au Yanga ilienda kukodi mabeki warefu? Au Monastir hawakupata kona hata moja au set pieces yeyote ile?
Namaanisha hata kule kwao ilitakiwa wafungwe na hata possession tuliwazidi
 
Ingekuwa timu inaangalia set pieces tu wangekuwa wanasajili mangongoti tupu, yule kondeboy aliyekuwa anaisadia Simba kipindi hicho kabla ya kwenda Al Ahly alikuwa ni tall?
Anafikiri mpira wa miguu ni basketball
 
Naskia sio tabia Tu jamaa ana matatizo ya kiafya hasa hasa kwenye mazingira ya baridi Sana na kwenye high attitude anashindwa kupumua vizuri na hata akipanda ndege Tu kidogo ni shida tupu..

Simba sio wajinga kumuacha mchezaji mzuri bila kuwa na tatizo
 
Uko sahihi ila waache yawakute πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Basi umprove wrong rage kwa lile jina alilowapa,jamaa kadai wachezaji wafupi hawana faida,mimi nimemtolea mfano tu kwa messi mbu3 unakuja na hoja nyingine!kuna sehemu nimeitaja Yanga pale?
Ndiyo maana nikasema "awe na kipaji cha hali ya juu sana na mchango wake uwanjani uwe juu sana kiasi kwamba ufupi unakuwa siyo ishu". Unadhani naweza kuwakataa wachezaji wafupi bila kuwakumbuka kina Messi, Maradona na wengine wachache kadhaa waliofanya makubwa?

 
Ni sawa ila timu nzima sio wafupi, timu wachezaji warefu wengi tu.
 
Hakuna mchezaji hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…