Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

Kama robo ni kitu kikubwa robetinho kafukuzwa kwanini
Sasa kama jambo jepesi kufika ROBO CL mbona yanga msimu wa 50 hajafika robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyie mbona vichwa vigumu,makundi tu imewachukua 25yrs alafu unaibeza robo khaaaa
 
Kama robo ni kitu kikubwa robetinho kafukuzwa kwanini
Ndio ujue Simba SC ni kubwa na malengo yake pia ni makubwa zaidi,hatujaweka malengo ya robo,tumeweka malengo ya NUSU,
uto wana malengo ya makundi waliyoshindwa kuingia kwa MIONGO KADHAA/ROBO KARNE
 
Ndio ujue Simba SC ni kubwa na malengo yake pia ni makubwa zaidi,hatujaweka malengo ya robo,tumeweka malengo ya NUSU,
uto wana malengo ya makundi waliyoshindwa kuingia kwa MIONGO KADHAA/ROBO KARNE
mwaka jana mulitimiza malengo yenu?
 
Kwa sababu ya ufupi wanakuwa siyo tegemeo sana kucheza mipira ya juu, siongelei kupiga. Saidoo anakimbilia kupiga kona na free kicks kwa sababu anajijua hana msaada sana kuicheza kwa kichwa
Hivi yule Allende wa Mamelodi ni mrefu...
 
Binafsi sijaona sababu ya kumsajili huyu Okra sidhani kama anajipya na kuweza kuisaidia timu kwenye klabu bingwa,maana sioni kama anakitu kipya ambacho hakipo kwenye kikosi chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…