Okra kutuvalia kata K watu wa Yanga alimaanisha nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia.

Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote.

Kuna kipindi alikuwa anatembea huku anavuta jeans juu means jeans ilikuwa inashuka huu sio ustaarabu wa yanga.

Msaidien kwenye tabia kwakweli sikupenda ashukuru Mungu nilikuwa naelekea kwa mwamposa nkesha else leo angeyaajaaaaaa.

Otherwise kelelee sio uwezo tunahitaii kuona ubora wake uwanjani na sio vinginevyo.

Wish u okra all d best and happy new year.
 
Wachezaji ni Celeb....sasa hata mavazi tuwapañgie...kama wachungajiii
 
Selfimage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…