Okra magic acheze namba ya Max Nzengeli ili kuongeza kasi ya mashambulizi

Okra magic acheze namba ya Max Nzengeli ili kuongeza kasi ya mashambulizi

Mimi nashauri waanze wote tu pale mbele ili kuleta maafa kwa Mwarabu. Yaani Pacome, Okrah, Nzengeli, Aziz Kii, Mzize, na Aucho.

Halafu kule nyuma Mwamnyeto tu ndiyo aangaliwe kwa jicho la karibu. Maana hatabiriki.
Pale nyuma panamfaa Baca na Job, huyo Mwamnyeto ni mtoa boko, achelewi kuchoma kibanda.
 
Mwamnyeto na Mzize wasicheze hii gemu ila Musonda aanze au Gwede na Lomalisa kushoto,Key na Nzegeli kama kawaida huyo Okrah aingie sub sio aanze Yanga wanahitaji matokeo..
 
Mimi nashauri waanze wote tu pale mbele ili kuleta maafa kwa Mwarabu. Yaani Pacome, Okrah, Nzengeli, Aziz Kii, Mzize, na Aucho.

Halafu kule nyuma Mwamnyeto tu ndiyo aangaliwe kwa jicho la karibu. Maana hatabiriki.

Muda hawezi kaa bench Panga upya kikosi
 
Diarra
Yao, Fred, Job, Lomalisa,
Aucho, Pacome. Ki, Max, Okra,
Guede.

4.3.3

MBELE wakae kulia okra, kushoto pacome na kati guede.

nyuma yao wawepo ki na max. Max anatakua anashuka kwenye duara la kati kusaidiana na aucho, with yao na lomalisa ubavuni hawa wanaweza kuwa wanapanda na kushuka.

Game hii tunahitaji wafungaji wengi huku umakini wa kujilinda ukiwa mkubwa.
 
Mwamnyeto asicheze kabisa hii Mechi......
Kwangu mimi Mwamnyeto ndiyo pacha sahihi wa Bacca,makosa machache anayofanya hayamfanyi kuonekana hafai.Arsenal iliwahi kuwa Solo Camble aliyekuwa anafanya makosa madogomado lakini ndiye beki aliyeaminiwa na kocha.Kwangu Mimi Mwamnyeto bado anafanya kazi chafu sana pale nyuma na hasa kwenye hizi mechi za kimataifa.
 
Pale nyuma panamfaa Baca na Job, huyo Mwamnyeto ni mtoa boko, achelewi kuchoma kibanda.
Hao waarabu walipotupiga 3 kwao,si mabeki walikuwa hao uliowataja! Mwamnyeto ndiye beki anayejua kukaba kwa kuziba njia.
 
Diarra
Yao, Fred, Job, Lomalisa,
Aucho, Pacome. Ki, Max, Okra,
Guede.

4.3.3

MBELE wakae kulia okra, kushoto pacome na kati guede.

nyuma yao wawepo ki na max. Max anatakua anashuka kwenye duara la kati kusaidiana na aucho, with yao na lomalisa ubavuni hawa wanaweza kuwa wanapanda na kushuka.

Game hii tunahitaji wafungaji wengi huku umakini wa kujilinda ukiwa mkubwa.
Kwani Bacca ni majeruhi au ana shida gani?
 
Kwani Bacca ni majeruhi au ana shida gani?
Nachojua bacca ni majerug, ila kama yuko fit, basi mwanyeto akae nje jukumu la ulinzi wa kati Lile la afande na job, mwamnyeto akapumzike.
 
Nimehitimisha kuwa combination ya nkrah na guede inatiki hawa watumike kwenye sub kama jana kuchangamsha mpira tukianza kupaki bus ila nzengeli ni mtu na nusu anafaa kucheza na musonda
 
Back
Top Bottom