Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawa na ndio nguzo nyingine yanga pale kati baada ya AuchoMax anafanya kazi nyingi sana kwa wakati mmoja, kwenye beki yupo, kiungo yupo, kwenye ushambuliaji yupo.
Hahahahahaha hapo hata sub hanaHii timu itabaki na beki wawili, Mkuu unataka kuwa profesa wa soka uvumbue mifumo?
Pale nyuma panamfaa Baca na Job, huyo Mwamnyeto ni mtoa boko, achelewi kuchoma kibanda.Mimi nashauri waanze wote tu pale mbele ili kuleta maafa kwa Mwarabu. Yaani Pacome, Okrah, Nzengeli, Aziz Kii, Mzize, na Aucho.
Halafu kule nyuma Mwamnyeto tu ndiyo aangaliwe kwa jicho la karibu. Maana hatabiriki.
In short Max Mpia Nzegeli ni aina ya wachezaji wanaocheza namba inaitwa False Number.Max anafanya kazi nyingi sana kwa wakati mmoja, kwenye beki yupo, kiungo yupo, kwenye ushambuliaji yupo.
Hii sio Sawa lazima uwe na sub zenye pawaMimi nashauri waanze wote tu pale mbele ili kuleta maafa kwa Mwarabu. Yaani Pacome, Okrah, Nzengeli, Aziz Kii, Mzize, na Aucho.
Halafu kule nyuma Mwamnyeto tu ndiyo aangaliwe kwa jicho la karibu. Maana hatabiriki.
Kazi anazofanya Max ni kubwa na ngumu..Okrah haweziAingie sub inatosha, Max bado ni muhimu hasa kwenye kukaba
Mimi nashauri waanze wote tu pale mbele ili kuleta maafa kwa Mwarabu. Yaani Pacome, Okrah, Nzengeli, Aziz Kii, Mzize, na Aucho.
Halafu kule nyuma Mwamnyeto tu ndiyo aangaliwe kwa jicho la karibu. Maana hatabiriki.
Kwangu mimi Mwamnyeto ndiyo pacha sahihi wa Bacca,makosa machache anayofanya hayamfanyi kuonekana hafai.Arsenal iliwahi kuwa Solo Camble aliyekuwa anafanya makosa madogomado lakini ndiye beki aliyeaminiwa na kocha.Kwangu Mimi Mwamnyeto bado anafanya kazi chafu sana pale nyuma na hasa kwenye hizi mechi za kimataifa.Mwamnyeto asicheze kabisa hii Mechi......
Hao waarabu walipotupiga 3 kwao,si mabeki walikuwa hao uliowataja! Mwamnyeto ndiye beki anayejua kukaba kwa kuziba njia.Pale nyuma panamfaa Baca na Job, huyo Mwamnyeto ni mtoa boko, achelewi kuchoma kibanda.
Kwani Bacca ni majeruhi au ana shida gani?Diarra
Yao, Fred, Job, Lomalisa,
Aucho, Pacome. Ki, Max, Okra,
Guede.
4.3.3
MBELE wakae kulia okra, kushoto pacome na kati guede.
nyuma yao wawepo ki na max. Max anatakua anashuka kwenye duara la kati kusaidiana na aucho, with yao na lomalisa ubavuni hawa wanaweza kuwa wanapanda na kushuka.
Game hii tunahitaji wafungaji wengi huku umakini wa kujilinda ukiwa mkubwa.
Nachojua bacca ni majerug, ila kama yuko fit, basi mwanyeto akae nje jukumu la ulinzi wa kati Lile la afande na job, mwamnyeto akapumzike.Kwani Bacca ni majeruhi au ana shida gani?