Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwanini unasema timu "zetu" wakati alisajiliwa na timu moja?Moja kati ya sajili ambazo zilifikirisha sana na kupima ueledi na maarifa ya usajili kwa team zetu
Okrah hakupaswa hata kufikiriwa kwenye usajili ni sawa na ndugu yake Morison hawafai
Team yetuKwanini unasema timu "zetu" wakati alisajiliwa na timu moja?
Ni mambo ya kawaida kama unahitaji kuimarisha kikosi, unatoa mchezaji aliye Bora anaingia Bora zaidi.Niliwatahadharisha kuhusu wachezaji kutoka Ghana na Nigeria ni matapeli tu
Kwa namna inavyodaiwa inatoa picha kuwa Uto inaendeshwa kiuswahili swahili.Tangu enzi za Mkapa Karibia kila msimu Uto inakuwa na kesi dhidi ya makocha wao waliopita au wachezaji na bado klabu haina maendeleo yoyote ya kujivunia.Ni mambo ya kawaida kama unahitaji kuimarisha kikosi, unatoa mchezaji aliye Bora anaingia Bora zaidi.
Tahasisi kudaiwa ni jambo la kawaida.
Kama Barca na Madrid Wana madeni una shangaa vip kwa Yanga!!Kwa namna inavyodaiwa inatoa picha kuwa Uto inaendeshwa kiuswahili swahili.Tangu enzi za Mkapa Karibia kila msimu Uto inakuwa na kesi dhidi ya makocha wao waliopita au wachezaji na bado klabu haina maendeleo yoyote ya kujivunia.
yanga watalupa hiki deniShirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga.
FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo ndani ya siku 45 kuanzia sasa.
Soma Pia:Yanga yaachana na Okrah baada ya kuishia kufunga goli 1
Nashangaa Kwa sababu mna madeni na hamna maendeleo.Kama Barca na Madrid Wana madeni una shangaa vip kwa Yanga!!
Siyo Ubwela tena?