Tuwe tu wakweli; usajili wa Augustine Okrah ulikuwa ni usajili wa hovyo. Naamini uongozi utakuwa umekubaliana na uhalisia, na ndiyo maana walimpa mkono wa kwaheri.
Wengi wanaotoka huko kwanza wanakuwaga wamesoma na pia wao na mawakala wao wanazijua sana sheria za fifa zinazosimamia haki za wachezaji, na mpaka wanafikia hatua ya kusainiwa kwenye hivi vilabu vyetu tayari wameshaona loopholes zote za mikataba na ni wapi pa kutukabia endapo kama mambo yakienda ndivyo sivyo.... kiufupi wanakuja huku tayari wakiwa wamekiwa beneficial exit plan