OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
It is a sign of maturity to apologize and admit when you are wrong. We, Simba fans accept your apology.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simbilisi ndiyo walishangilia draw.Hiki ni kitu kizuri sana, wachezaji wanajijengea psychology ya uzembe wowote utakaoifelisha team kupata matokeo mazuri haikubaliki, wakati utopolo wanashangalia draw, mnyama anaangalia alipokosea na next time kuna mtu atapigwa kama ngoma.
Hivi huwa zinakutosha kweli? Wewe ni Bumunda kabisa.Hana lolote huyo.
Muarabu anaenda kuendeleza kupasua mshono next week, mkae kwa kutulia.Simbilisi ndiyo walishangilia draw.
Videos zipo.
Matola usikimbie uziHivi huwa zinakutosha kweli? Wewe ni Bumunda kabisa.View attachment 2397189
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huoni ameomba radhi..bado tu una makasiriko nae?Jamaa yuko vzr ila ni mbinafsi cjapata ina
Hivi Okra ana account ngapi instagram?.
Ipi ni real one
Na ndiye aliyemkimbiza MZUNGU!Jamaa yuko vzr ila ni mbinafsi cjapata ina
Okeyy na mm naijua hyo ila naona nyingii. Sasa hyo uliyoweka kuwa kaomba radhi ni nani
Hiyo hapo imekuwa followed na wachezaji wenzie
Hiyo fbOkeyy na mm naijua hyo ila naona nyingii. Sasa hyo uliyoweka kuwa kaomba radhi ni nani
Sidhani kama ni yakeHiyo fb
Hudhani...weka yake basiSidhani kama ni yake
Sawa wewe ndiyo unalo. Kanywe togwa ulale sasaHana lolote huyo.